Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha hakuna bro,dah hiyo tafsiri yako bro


Huku kwema Kaka, hatujambo kabsa, hope ni mzima hapo ulipo,,huwa tunapishana tu humu
Ndiyo. Huku kwema bro. Nimegundua kijiwe kingine nashindaga huko siku hizi. Hapa nakujaga kuchungulia chungulia tu mara moja moja ili kuona tafiti za Esta zinavyoendelea. Mungu Aendelee kutulinda bro [emoji1545][emoji1545]
 
Fuata nyuki ule asali.
Kuna methali zingine wahenga walichemsha [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20210625-214559_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom