antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Ndiyo. Huku kwema bro. Nimegundua kijiwe kingine nashindaga huko siku hizi. Hapa nakujaga kuchungulia chungulia tu mara moja moja ili kuona tafiti za Esta zinavyoendelea. Mungu Aendelee kutulinda bro [emoji1545][emoji1545]Hahaha hakuna bro,dah hiyo tafsiri yako bro
Huku kwema Kaka, hatujambo kabsa, hope ni mzima hapo ulipo,,huwa tunapishana tu humu
Kuna methali zingine wahenga walichemsha [emoji16][emoji16][emoji16]Fuata nyuki ule asali.