Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mke mmoja aliunga mkono wazo la kutaka kuwa wanaume wengi wakati alipokuwa katika darasa la sita akiwa na umri wa miaka 12 baada ya kufahamu jinsi nyuki mama katika mzinga wa nyuki anavyoishi na nyuki wengi wanaume'' , Professa huyo alisema.
 
FB_IMG_1624793817502.jpg
Screenshot_20210626-094458_YouTube.jpg
 
Baadhi ya wanaume pia walisema kwamba hawakumtosheleza mke wao katika tendo la ndoa, na kwamba wanakubali mpango wa wanaume wenza ili kuzuia kupata talaka ama mahusiano mengine.

Suala jingine ni la kushindwa kupata Watoto.
 
Back
Top Bottom