Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

babe S: mwanadada uneyekubalika kuliko wote, unanifanya niishi maisha magumu kwa pendo nililonalo dhidi yako, ingawa uniq amekudhibiti lakini sitoacha kufutilia nyuma kama fisi anavyoufuata mkono wa mwanadam akidhani utaanguka apate kitoweo

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Ohoooo
 
ISIS malkia mtarajiwa wa like ndani ya jamiiforums kama kawaida yako, sidhani kama kuna siku uliwahi kutembelea majukwaa mengine. Salute kwako goddess kwa kuutendea haki uzi huu. Like nyingi zinakustahiki

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Anatembea majukwaa mengi tu sema ni goddess ana magnification ya hatari
 
Back
Top Bottom