Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa kichafu kama ilivyo ada upo katikati ya malumbano ya kugombea warembo, naona ama hutosheki na mmoja ama hujaamua ubaki na mrembo gani, pokea like mkuu

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa sasa na maisha mapya.
Sina mrembo hata mmoja nipo nang'aa sharubu tu.
 
3494a48dfb18aeb86e167caa1aa4c7e4.jpg
 
Back
Top Bottom