Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Mimi bado nipo likizo ni kuvuta mashuka vizuri kukikucha
Cole nimejibu nini mkuu.Somebody kaburungu
Asantee dada akeKaribu ndugu yangu
[HASHTAG]#selfie[/HASHTAG]Tecno camon cx
Nilisha kuonya na nikakuambia majibu utayapataMazizi lazima yaingiliwe kichwa,
Haiwezekani tukate tamaa wkt kila kitu kinaenda sawa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
OuchLeo sio siku nzuri kutumia pombe kali.
Mzima wa afya nipo nae tunatoa likes na kupata likes...Am vere fine shemeji.... zepine hajambo?
Mkuu huko tunakuja taratibu.Ubaki na amani ila usije kwenye anga zangu nilisha kuonya long time
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Uniq pamoja na ugomvi wangu na wewe amini hakukuwepo na kitu kibaya katika post zangu ama ya kichwa kichafu,Pole sana Numbisa. Naomba Mungu akupe amani ya roho. Kumbuka sisi ni wanadamu huwa tunakosea na kuvuka mipaka. Mungu akupe nafasi ya kusamehe na kusahu.
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Asante sanaHongera woote wanaotimiza malengo yetu. Likes kwa likes