Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana Numbisa. Naomba Mungu akupe amani ya roho. Kumbuka sisi ni wanadamu huwa tunakosea na kuvuka mipaka. Mungu akupe nafasi ya kusamehe na kusahu.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Nilishtuka ikabidi nirudi nyuma. Hope yataisha natamani kuwe na amani humu ndani.
Upebdo nikitu kikubwa sana. Kwa alie kwazika polee zake. Hope vitu vitakaa sawa.
Amani ya Kristo iwe nanyi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Amina mkuu,
Like zipo na zitaendelea kuwepo hakuna sababu ya kumchukia mtu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom