Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sijajua nikuite shemeji ama ?
Kila mtu anajua kwa nini yupo kwenye jukwaa ama uzi huu,
Kila mtu anaelewa kwa jinsi navyoelewa,
Kuna watu wameoa ama kuolewa,
Kuna wenye wachumba tayari,
Lakini hapa kuna wachumba na wapenzi wasio halisi,
Tunafurahi tu si kwa nia yoyote,

Hapa sidhani kuna ambao wamefikia kuwa wachumba ama wapenzi kwa namna hii ya ID fake,
Kama wapo basi ni bahati ya aina yake.

Hapa kuna watu aina zote, hivyo mie naelewa binadamu wote ni sawa bila kujali imani ama itikadi zetu.

Humu vipato viko sawa tu kwani hakuna anayemjua mwingine katika maisha yake halisi.

Naomba tusameheane tu kama kuna makwazo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Maneno ya hekima.Nadhani ni katika hali ya kupishana kidogo tu.Tukubali makosa yetu,tusameheane ili maisha yaendelee.Pata like

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom