Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Na umojaAmani
Na umojaAmani
Mmmmmh
Msichukulie vitu serious mkuu...yaliopita si ndwele tugange yajayoKichwa kichafu umenitaja mimi mpaka nimetukanwa kuwa natongoza kishamba!
Au wewe ndo umechombeza ndugu yangu,
Mjini hakunifai hata Ikwiriri natamani kuhama.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
LikesWeekend ndefu hiyooo inaishia... Mungu atuamshe salama kesho tukawajibike kusaka tonge
Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tangazo la jana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I likeLikes
Mimi mzee wa kibiti kwa jina nafahamika kama Kichwa Kichafu.Asante sijajua nikuite shemeji ama ?
Kila mtu anajua kwa nini yupo kwenye jukwaa ama uzi huu,
Kila mtu anaelewa kwa jinsi navyoelewa,
Kuna watu wameoa ama kuolewa,
Kuna wenye wachumba tayari,
Lakini hapa kuna wachumba na wapenzi wasio halisi,
Tunafurahi tu si kwa nia yoyote,
Hapa sidhani kuna ambao wamefikia kuwa wachumba ama wapenzi kwa namna hii ya ID fake,
Kama wapo basi ni bahati ya aina yake.
Hapa kuna watu aina zote, hivyo mie naelewa binadamu wote ni sawa bila kujali imani ama itikadi zetu.
Humu vipato viko sawa tu kwani hakuna anayemjua mwingine katika maisha yake halisi.
Naomba tusameheane tu kama kuna makwazo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nini?
Carba,Pole Numbisa kwa kukwazika...
[emoji7] [emoji7]Am glad you are awake love
Toa likes upate likesNa Mie Nataka,
Nimwagieni za Kutosha!
Nina hamu nazo!
plizzzzzz
![]()
Yaishe jamaniHelo ugly baby, hapo vipi mpaka utakapo niruhusu ntatengua kauli
Asante mkuu ndo burudani zenyewe!Pole mkuu
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kuna kitu nafikiria
Umeandika ka vile unanijali mdogo wangu
Ila nashukuru
Eeeeh
Nilishtuka ikabidi nirudi nyuma. Hope yataisha natamani kuwe na amani humu ndani.