Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na Mie Nataka,

Nimwagieni za Kutosha!

Nina hamu nazo!

plizzzzzz


50967183-milk-splash-drops-white-mood-Stock-Photo.jpg
Una hamu na likes fake gal.

Ila hiyo avatar yako ipo vizuri.

Pokea likes kwanza
 
Numbisa sijakutaja kokote wewe!
Pia hata hivyo sidhani kama kuna mtu ana maisha yake halisi humu ndani,
Hii ni sehemu ya kuburudika tu hakuna kingine,
Kama umekwazika na lolote samehe basi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Amani itawale,Numbisa samahani dada "go down" hata mara moja tu maisha yaendelee.
Honesty huu utan siupend tangu utoton

Sipo kwa ajili ya uhawara humu,likes only

Kama ho chi ni kidume akatongoze mtaan kwao,sio fake ID kuja kuleta ukidume wa kishamba humu

Relax mama maana kisu kimegusa mfupa[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom