Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Honesty huu utan siupend tangu utoton

Sipo kwa ajili ya uhawara humu,likes only

Kama ho chi ni kidume akatongoze mtaan kwao,sio fake ID kuja kuleta ukidume wa kishamba humu
Numbisa sijakutaja kokote wewe!
Pia hata hivyo sidhani kama kuna mtu ana maisha yake halisi humu ndani,
Hii ni sehemu ya kuburudika tu hakuna kingine,
Kama umekwazika na lolote samehe basi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Numbisa ubuyu njoo huku kwanza maana kqzi ndio inaanza.
 
Back
Top Bottom