cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Upendo
Lov muache bhanaNamshangaa from no where tu lovely
simu fikirishi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuja hapa,wivu tu unakutesa[emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Pole mwaya, kuwa na amaniAsante sijajua nikuite shemeji ama ?
Kila mtu anajua kwa nini yupo kwenye jukwaa ama uzi huu,
Kila mtu anaelewa kwa jinsi navyoelewa,
Kuna watu wameoa ama kuolewa,
Kuna wenye wachumba tayari,
Lakini hapa kuna wachumba na wapenzi wasio halisi,
Tunafurahi tu si kwa nia yoyote,
Hapa sidhani kuna ambao wamefikia kuwa wachumba ama wapenzi kwa namna hii ya ID fake,
Kama wapo basi ni bahati ya aina yake.
Hapa kuna watu aina zote, hivyo mie naelewa binadamu wote ni sawa bila kujali imani ama itikadi zetu.
Humu vipato viko sawa tu kwani hakuna anayemjua mwingine katika maisha yake halisi.
Naomba tusameheane tu kama kuna makwazo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HiBikira wa kisukuma.... R.I.P
Walimu watakapo niamsha hahahahaSaa ngapi?
Poa habar ya weweMamboz..
LikesNyama choma na bia
KaribuHodi hodi hodiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msichukulie vitu serious mkuu...yaliopita si ndwele tugange yajayo
Poleni wakuu. Naomba amani itawaleMimi mzee wa kibiti kwa jina nafahamika kama Kichwa Kichafu.
Pamoja na mzee mwenzangu wa ikwiriri anafahamika kwa ho chi minh.
Tunaomba radhi kwa tulie mkwaza kwa wakati huu.
Naomba mtuelewe tu na mtuzoee tu kiroho safi.
WAKATI HUO HUO NAPENDA KUTOA RAHI KWA MAZIZI MENGINE.
√Ambao bado wanaturushia mawe na kupinga upande wa ho chi minh kufanikisha lengo lake kwa mtoto tulie anza kupambana wiki sasa
Muendelee kujisajiri upande huu unaotoa tangazo maana bomoa bomoa limeanza na halitakuwa na huruma.
Mpaka sasa majina ni mengi ambao tayari wamejisajiri huu upande wa mtoa tangazo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushaidi wa nini?Andaa page 100 za majibu na ushaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walimu watakapo niamsha hahahaha