myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes ndio lengo la Uzi huuNi kweli. Tuendelee tu kukumbushana...
Likes ndio lengo la Uzi huuNi kweli. Tuendelee tu kukumbushana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naongea na mama charii wanguUnasemaha ...[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Hata kama umekosewa jaribu kuangalia je wewe hujakosea, kama mmekoseana si bu budi kusameana. Hakuna binadamu asiekosea cha msingi kuvulia na kutohesabu makosa. Ukihesabu makosa mapenzi hutoyaweza, funga hesabu za mapenzi kila jioni kesho anza na mapya.
Kwa kila jambo kwa nyakati zoteMungu mkubwa...
UlimwenguUNIVERSE
Kazi nzito tulioanza leo ila taratibu tu wengine wajiaandaeMbona unatoa pole huku umepiga magoti?Anakurubuni eee??
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
tena na yale mapicha picha yako🙂Nitawajibu saa za wanga hahahaha
Nini tenaAsante sijajua nikuite shemeji ama ?
Kila mtu anajua kwa nini yupo kwenye jukwaa ama uzi huu,
Kila mtu anaelewa kwa jinsi navyoelewa,
Kuna watu wameoa ama kuolewa,
Kuna wenye wachumba tayari,
Lakini hapa kuna wachumba na wapenzi wasio halisi,
Tunafurahi tu si kwa nia yoyote,
Hapa sidhani kuna ambao wamefikia kuwa wachumba ama wapenzi kwa namna hii ya ID fake,
Kama wapo basi ni bahati ya aina yake.
Hapa kuna watu aina zote, hivyo mie naelewa binadamu wote ni sawa bila kujali imani ama itikadi zetu.
Humu vipato viko sawa tu kwani hakuna anayemjua mwingine katika maisha yake halisi.
Naomba tusameheane tu kama kuna makwazo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sayari ya piliVenus
Na upendoAmani