Tatizo gani? Kukataliwa ama?Kumekuwa na tatizo moja humu ndani
Hahhaahhaha sikuwezi Mkuu, ngoja nikae kimya.Tatizo gani? Kukataliwa ama?
Ni kweli. Tuendelee tu kukumbushana...Watu wamekuwa wachoyo kutoa likes
HamnaNaona juhudi za kuifikia 200 zimepoa humu
Sasa anamyatia numbisaMzee wa mazizi mengi
Kabisa Mkuu, nilikuwa napitia post za huko nyuma naona kuna likes 2 au 3 tu yaani 5 hakuna.Ni kweli. Tuendelee tu kukumbushana...
Hapana. Huyu ni mdogo wangu na mimi ni mentor wake. Kichwa alikuwa anafukuzia ila binti ana paraboz kali ajabu...Naona unammendea mtoto wa shule [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Nafurahi kusikia hivyo!Dada ako ni wa afya tele.Tupo nae kuyajenga ili mwaka usiishe kwa mapenzi ya Mungu tukutwange na kasapulaizi shemeji....Jakitoo muke ya Shimba mzima?
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app