Ohhh kumbe ngoja nirudi nyuma kukagua mi ndo mkaguzi wenu shaka ondoa![emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa Mkuu, nilikuwa napitia post za huko nyuma naona kuna likes 2 au 3 tu yaani 5 hakuna.
Toa diractions sis. Kwenye mageti huko Masaki tusije tukaenda sipo tukafurushwa [emoji23][emoji23][emoji23]Karibuni kwangu
Kwa Numbisa parefu!Sasa anamyatia numbisa
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Kichwa njoo umskie shimba..[emoji23] [emoji23]Hapana. Huyu ni mdogo wangu na mimi ni mentor wake. Kichwa alikuwa anafukuzia ila binti ana paraboz kali ajabu...
Mimi sina tabia ya kuruka ruka mkuu. Ni mimi na Jakitoo mpaka kifo !
Karibuni kwangu