moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mfuatilie utaoziona tuAna msimamo gani kuhusu wanaomnyatia?
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Mfuatilie utaoziona tuAna msimamo gani kuhusu wanaomnyatia?
Mhhhhh!!Tatizo mabinti wote hapa wameshamshtukia. Itabidi akajaribu thread zingine huko!
Kwema sana mkuu.Wakuu kwema humu?
Hahahahaha watu wanakimbia vibomuMke:baby nmeota umeninunulia chain ya
dhahabu
Mume:rudi usingizini ukaivae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unammendea mtoto wa shule [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni mimi Neisha. Ndiyo maana ulipotukaribisha lunch nilisema kuwa sitashiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejuaje boss.Watu wamekuwa wachoyo kutoa likes
Dada ako ni wa afya tele.Tupo nae kuyajenga ili mwaka usiishe kwa mapenzi ya Mungu tukutwange na kasapulaizi shemeji....Jakitoo muke ya Shimba mzima?Dadangu leo sijamuona hapa. Hajambo?
Sijawahi kupata ban. Lakini pale kwenye jukwaa lenu la kampeni povu linalomwagika pale hupelekea ban zisizo na kikomoHi
Hizo ban inaelekea umezila sana duh
Mimi sijawahi kupata ban humu...
Ni tabia yangu ikivyo na maneno nayoandika yanajionyesha
Muache kutukana na kuandika uchafu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unakaba hadi penalt
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimekubali we jamaa unapenda kuonja kama mpishi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Numbisa hutaki hata kunionea huruma nikapata kumbato lako hata nusu dakika[emoji125] [emoji125] [emoji125]