moleculeOxygen
[emoji15]Mungu mkubwa...
Salama mkuuHabari za usiku wapendwa
Shemeji you goodBikira wa kisukuma.... R.I.P
Umeongea kibusara ukala like yanguAsante sijajua nikuite shemeji ama ?
Kila mtu anajua kwa nini yupo kwenye jukwaa ama uzi huu,
Kila mtu anaelewa kwa jinsi navyoelewa,
Kuna watu wameoa ama kuolewa,
Kuna wenye wachumba tayari,
Lakini hapa kuna wachumba na wapenzi wasio halisi,
Tunafurahi tu si kwa nia yoyote,
Hapa sidhani kuna ambao wamefikia kuwa wachumba ama wapenzi kwa namna hii ya ID fake,
Kama wapo basi ni bahati ya aina yake.
Hapa kuna watu aina zote, hivyo mie naelewa binadamu wote ni sawa bila kujali imani ama itikadi zetu.
Humu vipato viko sawa tu kwani hakuna anayemjua mwingine katika maisha yake halisi.
Naomba tusameheane tu kama kuna makwazo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Zote za watumiaji wa Jf majukwaa mbali mbali yaan hakuna hata ka iphone humu jukwaan
DahAibu
Hahhahaha.Salama boss naona kule umeniharibia ukakimbilia huku
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
NaonaNaamsha dude
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Kula like, sina muda wa kusoma Insha mimiAsante sijajua nikuite shemeji ama ?
Kila mtu anajua kwa nini yupo kwenye jukwaa ama uzi huu,
Kila mtu anaelewa kwa jinsi navyoelewa,
Kuna watu wameoa ama kuolewa,
Kuna wenye wachumba tayari,
Lakini hapa kuna wachumba na wapenzi wasio halisi,
Tunafurahi tu si kwa nia yoyote,
Hapa sidhani kuna ambao wamefikia kuwa wachumba ama wapenzi kwa namna hii ya ID fake,
Kama wapo basi ni bahati ya aina yake.
Hapa kuna watu aina zote, hivyo mie naelewa binadamu wote ni sawa bila kujali imani ama itikadi zetu.
Humu vipato viko sawa tu kwani hakuna anayemjua mwingine katika maisha yake halisi.
Naomba tusameheane tu kama kuna makwazo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HahahahaZote za watumiaji wa Jf majukwaa mbali mbali yaan hakuna hata ka iphone humu jukwaan
DaimaTANZANIA
HahahahaKula like, sina muda wa kusoma Insha mimi