Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee mbona wahusika hawakumind who are you to them? Ee unatafuta bifu kwa watu wasiokuhusu acha hizo ni tabia za akina dada. Nilikuwa na andjul na sio wewe bora angepanic nsamaka au baby s hapo sawa but u!!!! Inashangaza. Utetezi wako wa kimdezi sana

It means uliona wivu ee bora ungenitafutia sababu kwa picha ninazokutaniaga na sio kusema ligi ya andjul na uniq. Kichwa wwww sio mwenye uzi kusema una haki ya kucontrol watu humu. Kuanzia leo sikutanii so stop ukuwadi ee kijana hatujuan hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…