Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni kula na kuliwa, literally!
69284ebbf53db25f041208a980c4566f.jpg
 
Ooohh waaoww mchana ulipokuja ukataja majina na ID yangu likiwemo umesahau ee!!? Kukumbusha tu ni yale mazizi uliyoyataja

Kila siku nakwepa uhusiano humu na huwa nasema kabisa. Nimesamehe
Sina kinyongo,
Nina amani kama siku zote,
Jukwaa gumu ni la siasa tu.


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Oohoo hamnaga utan nyie,ndio wa kwanza kwenda kuandika threads MMU. Utan wa uhawara no kwangu
Hahhahahaha vitu MMU na kichwa kichafu si hivyo bhana.


Ila leo nimefanya hivyo maana kuna siku niliona unataka pambano kati ya andjul na uniq nikaload fasta kwanini nami nisikutafute anga ambayo nilijua huwa haupo nami nikagusa kule kule maana vita vya andjul na uniq uchungu wake huwa kama huo ulioupata leo ila huwa hamna mtu achukuliae serious sana ndio maana tunapotezea humu humu.




Kula likes kwanza hiyo Numbisa huku mimi na mzee mwenzangu ho chi minh tukiendelea na vita hivi kwa wapinzani wetu.




Amani amani Numbisa ubuyu
 
Back
Top Bottom