Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26065b3b638f94ab1f74f74dbc9a0d44.jpg
 
Ooohh waaoww mchana ulipokuja ukataja majina na ID yangu likiwemo umesahau ee!!? Kukumbusha tu ni yale mazizi uliyoyataja

Kila siku nakwepa uhusiano humu na huwa nasema kabisa. Nimesamehe
Numbisa sijakutaja kokote wewe!
Pia hata hivyo sidhani kama kuna mtu ana maisha yake halisi humu ndani,
Hii ni sehemu ya kuburudika tu hakuna kingine,
Kama umekwazika na lolote samehe basi.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom