cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
FFF
Yaani sisi tunapiga mawe Tu yaan mawe tu
Pole sana,samehe na usahau...napenda kuendelea kukuona humuThank u. Nina bad experience na huu utan hasa humu JF. Pm shahidi
[emoji15] [emoji15]Maringo yote kwisha kila mtu amejulikana anatumia simu gani
Mwenyewe nimeshtuka nipo wazi muda mrefu mpaka aibu. Ika bidi nimshutue Babe S[emoji23] [emoji23] [emoji23] kasoro mimi na babe wangu
Samsung-SM-G530AZ Galaxy Prime
Hahah na wewe umekikanyaga "kiswazi"TUKI mkuje huku, kiswazi kinakanyagwa hapa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pole..Ka browser kanakonipa fursa ya kutupia ubuyu kamezingua
Unataka kubomolewa zizi lako mkuu?[emoji23] [emoji23]Mimi na kichwa uadui bado upo, nyie watoto wa shule sina shida na nyie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Ni barakaNapenda watoto wangu
iPhone SE 64GB Space Gray.
LikesTayari.
Samsung-SM-G530AZ Galaxy Prime
Babe hakuna wa kunitoa kwako[emoji7] [emoji7]We huwez ukafanya chochote tayari ss Tunapendana na sio ww yeyote hawezi fanya chochote...
iPhone hazionyeshi[emoji3]