Wewe wapi kesho?Kesho kazi au darasani nyie
AMUN RAMnaoendelea na uzi usiku huu enjoy the likes you get, Kesho pia nayo ni siku,alamsiki
Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
Ndio.Hivi kuna wanafunzi humu?
NaamkaHamlali
Aisee umeaua kweliMda utasema baada ya mazizi kuwa chakali
Ile thread yako ya uganga na uchawi vipi?Ndio mkuu