myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usingizi ni tulizo la akili na mwili
Nimelewa sana.
Wakuu naingia kulala usiku mwemaKama umeandika weka likes
Nimelewa sana.
Ngoja nisinzie..
Wakuu naingia kulala usiku mwema
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kunywa maji mengi. Yatakusaidia !!!Nimelewa sana.
Imefikia mahali mtu unaamka kwenda kukojoa usiku wa manane, unagonga likes kwanza ndo unarudi kulala. Ni hatari sana !!!Nikistuka nagonga likes
The one and onlyISIS
Kunywa maji mengi. Yatakusaidia !!!
Guilty as charged me!Imefikia mahali mtu unaamka kwenda kukojoa usiku wa manane, unagonga likes kwanza ndo unarudi kulala. Ni hatari sana !!!
Hazina lolote hizo. Nilifikiri unagonga bapa!Castle zitaniua.