HahahahaNimelewa sana.
Castle zitaniua.
Imefikia mahali mtu unaamka kwenda kukojoa usiku wa manane, unagonga likes kwanza ndo unarudi kulala. Ni hatari sana !!!
Muamshe tu mkuu. Ni haki yako ila kumbuka naye kesho ana shughuli zake zinazomhitaji. Piga kimoja umwache alale....Nimekunywa ya kutosha. Nataka nimuamshe shemeji yako niliamshe dude hadi kukuche.
The night worldHa ha haaaaaa
Ukiongoza eeeeeeh
Uzi huu utafikiri Cocaine mkuu.Nimecheka sana mkuu.
Kama mmefika huku basi ni hatari sana aisee.
HahahahaUzi huu utafikiri Cocaine mkuu.
Ndiyo maana mimi kuanzia sasa sitamcheka tena Chid Benzi wala mateja wengine.
Mtu akinifungia nisiingie katika uzi huu aisee zitapigwa balaa sana...
Hazina lolote hizo. Nilifikiri unagonga bapa!
Uzi huu utafikiri Cocaine mkuu.
Ndiyo maana mimi kuanzia sasa sitamcheka tena Chid Benzi wala mateja wengine.
Mtu akinifungia nisiingie katika uzi huu aisee zitapigwa balaa sana...
Good nightgood night to you all
Muamshe tu mkuu. Ni haki yako ila kumbuka naye kesho ana shughuli zake zinazomhitaji. Piga kimoja umwache alale....
good night to you all
Ha ha haaaaa...Guilty as charged me!
Ha ha haaaaa...
Ukiona mtu kapost post mbili tatu hivi halafu akapotea, na ni usiku wa manane basi jua kuwa huyo alikuwa ameamka kwenda msalani na ameenda na simu yake na amegonga likes huko huko...Usicheze na uzi huu....
Haki ya Mola wanguHa ha haaaaa...