Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na iwe njema kwako pia...umeamka salamaAsubuhi iwe njema kwenu
Tuna-like hata Tabby. We just like!
Wapo wengi sana. Ndiyo wasumbufu wakubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna wanafunzi humu?
Asubuhi iwe njema kwakoWapo wengi sana. Ndiyo wasumbufu wakubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata unachoongea lakini kazi yangu hapa ni moja tu - kutoa likes na kupokea likes. Vijembe na porojo zisizokuwa na maana hapa siyo mahali pake. Kula likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabby ana likes nyingi tu za watu wanaojitambua, na hataki kuongea yasiyopaswa ili akubalike na shimba ya buyenze. Au hujui kusoma likes kwenye profile?
Amen mkuu. Mungu Atubariki sote na kazi za mikono yetu zikajae mibaraka tele!Tuombe siku iwe na baraka
Slogan ni ile ile: USIRUKE POST BILA KUTOA LIKES....Kupeana ,"likes ndio lengo kubwa