Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Habari ya asubuhi kumekucha sasa TUOMBE tunakushukuru mwenyezi mungu kwa kutulinda usiku wote,sisi sio wa kamilifu ila ni huruma yako kwetu kutukinga na hila za muovu shetani.Tunaomba baba mkono wako wa baraka ukakae nasi ili siku ya tutende ya kupendezayo Ameeen........

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kibumbu asante kwa sala mkuu. Jina lako hilo sikujua kama na utumishi unauweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu inabidi nibadirishe jina takuja vizuri tu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepokea maoni mengi kuhusu hili jina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu inabidi nibadirishe jina takuja vizuri tu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepokea maoni mengi kuhusu hili jina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Najua. Unajua hata kule kipindi kile kule kwingine na akina Shunie nilikuwa nakutania sana hili jina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom