Hahahaha sikulala usiku mzima ilikuwa ni party!Mzee ulilala humu?habar yako
Kumekuchaje Carba? Tayari kwenda kujenga taifa. Msalimie bwana mdogo hapo.Wananchi amkeni kumekucha
Mimi ni mzima namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingineHahahaha sikulala usiku mzima ilikuwa ni party!
Mimi ni mzima sijui wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu (in1870's swagger)
Kumekucha salama tu tunashukuru Mungu,atasikia salamu zakoKumekuchaje Carba? Tayari kwenda kujenga taifa. Msalimie bwana mdogo hapo.
Mafariiki wote wamelala baada ya party nzito nimebaki mimi tuu nasambaza upendo kwa wana JF wote kula likeKacnia - Birthday inaendeleaje? Endelea kuhongereka huku ukipokea na kugawa likes...
Ngoja wapumue kabla Ho Chi Minh hajaamka. Akiamka ni kasheshe tupu. Huku Kichwa na Andjul wakichochea moto. Wanampa hali ngumu sana shemeji yangu Uniq [emoji23][emoji23][emoji23]uniq na babe S
Ni jambo la kupendeza sana! Naona wiki ya majukumu imeanza sasaKumekucha salama tu tunashukuru Mungu,atasikia salamu zako
Kibiti huko mh. Mpaka tumsikie ndo tunajua kama yuko hai ama la!Kichwa kichafu mzee wa mikwara amka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee ulilala humu?habar yako
Na mikwara yake [emoji23] [emoji23]Ngoja wapumue kabla Ho Chi Minh hajaamka. Akiamka ni kasheshe tupu. Huku Kichwa na Andjul wakichochea moto. Wanampa hali ngumu sana shemeji yangu Uniq [emoji23][emoji23][emoji23]
AmenHabari ya asubuhi kumekucha sasa TUOMBE tunakushukuru mwenyezi mungu kwa kutulinda usiku wote,sisi sio wa kamilifu ila ni huruma yako kwetu kutukinga na hila za muovu shetani.Tunaomba baba mkono wako wa baraka ukakae nasi ili siku ya tutende ya kupendezayo Ameeen........
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hii ni siku ya kwenda kukagua kazi[emoji23] [emoji23]Ni jambo la kupendeza sana! Naona wiki ya majukumu imeanza sasa
Aiii. Jakitoo naye bado kalala. Namwandalia breakfast hapa tule wote halafu nikam-drop kazini kwake. Tuwe na siku njema leo!Mimi nimekqisha amka SHIMBA,Cole bado anajivutavuta kitandani...Habari ya asubuh?jakitoo hajambo?
Inapendeza kwakwelAiii. Jakitoo naye bado kalala. Namwandalia breakfast hapa tule wote halafu nikam-drop kazini kwake. Tuwe na siku njema leo!
Huyu anasubiri achakae ndo aanze kutafuta mume eeeh!?
ππππsawa mkuu mimi hapa majukumu ni mengi mpaka sasa nishaanza kaziHii ni siku ya kwenda kukagua kazi[emoji23] [emoji23]