Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi huu utafikiri Cocaine mkuu.
Ndiyo maana mimi kuanzia sasa sitamcheka tena Chid Benzi wala mateja wengine.
Mtu akinifungia nisiingie katika uzi huu aisee zitapigwa balaa sana...​
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kifungo cha hiari.Jana nilikuwa na wageni lakini muda wote macho na vidole vilikuwa kwenye simu.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…