kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,026
- 15,812
Gr8 kwa kweliGood morning to you ISIS
How are you?
Nakuona umekamatwa na jakitoo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimba za utotoni hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimba za utotoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Aliyeiweka pengine anajua. Tusubiri jibu lake. Za siku mkuu?Mwizi f'lani
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Ni nini hiyo shem?Kama unajua hiki ni kitu gani basi nawe ni mhenga!![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatar hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliharibu jana,walikuwa wanasimulia habari ya mgonjwa ghafla nikakutana na picha Shimba alilipost jibaba jinene linalalamika halijachukua soda.Nilicheka sana ikabidi niisalimishe ile picha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
AMUN RAAmen
Nadhani ni nyumba ya kienyeji ya Wahaya hii.Nice
Nawe piaWakuu. Naingia chimbo. Tukutane baada ya masaa matano hivi. Muwe na siku njema!