It's beautiful Monday morning kwa kweli na baraka nyingi sanaUmeianzaje wiki?
Asante malaika wanguAya karibu tena
Usisahau kuwabariki na wanaokuzunguka (prophet paul's words)It's beautiful Monday morning kwa kweli na baraka nyingi sana
Hamna Mwenye haki hana mateso tena bali wabaya wote wamekufa na vizazi vyao milele yoteMateso ya mwenye haki ni mengi sana.
Kama walio nizunguka ni watu wenye nia njema, hakika watabarikiwa! Kwani mtu huvuna aliyo yapandaUsisahau kuwabariki na wanaokuzunguka (prophet paul's words)
Good morning loveNi asubuh nyingine tumshukuru mungu