mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nzuri carbamazepine umeamkajeHabar za asubuh wapendwa
Nzuri carbamazepine umeamkajeHabar za asubuh wapendwa
Morning MkuuMzee wa Ini - Umeamkaje mkuu? Tuwemo!
Likes7:55
AMUN RA
Hjaja[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Coco - ni siku nyingine ya kutupanulia welewa wetu wa Kiswahili kupitia methali zako na misemo. Titi la Mama li tamu hata kama ni la mbwa ati!
AMUN RATuombe siku iwe na baraka
Na amani piaUpendo uendelee
Kuna mpango wakitaifa wa ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha standard gaugeKwa ajili ya nin????
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Kwa ajili ya nin????
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
7:55
AMUN RA
Kweli..Na amani pia
Huku nyuma likes chache sana nimetumia zaidi lisaa kuweka likesSlogan ni ile ile: USIRUKE POST BILA KUTOA LIKES....
TOA LIKES POKEA LIKES!!!
The one and only
Birthday imekwisha tupia likes kama kawaidaMafariiki wote wamelala baada ya party nzito nimebaki mimi tuu nasambaza upendo kwa wana JF wote kula like
Shilawadu umeanzaNgoja wapumue kabla Ho Chi Minh hajaamka. Akiamka ni kasheshe tupu. Huku Kichwa na Andjul wakichochea moto. Wanampa hali ngumu sana shemeji yangu Uniq [emoji23][emoji23][emoji23]