Viini macho unavyotumia havina nguvu yoyote SHIMBA YA BUYENZEWewe ndiyo umem-entertain hangaika naye. Mtembea popote kama huyu hata unajibizana naye wa nini? Huoni mabinti wote hapa wanamkaushia?
Mimi nikija hapo kusema kweli nitaishia kwenda jela tu na si vinginevyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TunakuonaaNawaona
Nawaona
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
Nipe na Mimi moyo wa kuipenda pesa na Mimi niipendeKwa kweli naipenda pesa nayo inanipenda ukweli!
Tayari mkuugonga likes upate likes
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nope. Mropokaji tu!
Well said.Jamani hii Jina la Yesu ni kuu mno kulifanyia jokes. Samahani kama nitakukwaza dada.
heshima kwako dadaPamoja