Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah, aiseee hayati Mungu amrehemu. Amsamehe makosa yake yote aliyotenda, kwa upande flani alikuwa ni mtu safi sana.
Yeah. Kama binadamu alikuwa na udhaifu wake lakini jambo moja kuu ambalo ni nadra kuliona hasa kwa hawa wenzake waliomfuata:ALIAMINI ALICHOKUWA ANAKIHUBIRI. Aliamini kabisa katika Ujamaa wake na aliamini kabisa kuwa rushwa ni adui wa haki. Alikuwa kama mungu na angeamua kufisadika basi angefanya atakavyo. Leo hii mpaka na watoto wake wote wanaishi maisha ya kawaida tu. Kwa hili tu namheshimu sana kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…