Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Wabongo wanapenda sana kuagizia vitu mara tu unaposafiri kwenda mkoani...*

*Ukienda Mtwara utasikia "Niletee Korosho"*
*Ukienda Mbeya utasikia "Niletee mchele....*
*Ukienda Singida utasikia "Niletee Mafuta ya alizeti...*
*Ukienda Mwanza utasikia "Niletee Sato..."*
*Sasa leo Naenda Kibiti...*

*Niwaletee nini?*
Tuletee milipuko

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Yeah. Kama binadamu alikuwa na udhaifu wake lakini jambo moja kuu ambalo ni nadra kuliona hasa kwa hawa wenzake waliomfuata:ALIAMINI ALICHOKUWA ANAKIHUBIRI. Aliamini kabisa katika Ujamaa wake na aliamini kabisa kuwa rushwa ni adui wa haki. Alikuwa kama mungu na angeamua kufisadika basi angefanya atakavyo. Leo hii mpaka na watoto wake wote wanaishi maisha ya kawaida tu. Kwa hili tu namheshimu sana kwa kweli!
Na mwaka 85 alikiri kosa la ujamaa na akaomba msamaha. Hakuwa mnafki kama waliomfata, leo kiongozi mmoja ndie anajifanya mzalendo wakati miaka michache nyuma alishiriki kuuza nyumba za serikali. Akapiga tenda za barabara mbovu, akanunua kivuko cha hovyo n.k

Kuona kuwa watu wanauliza sana kuhusu kivuko, akaamua akigawe kwa jw na kusema kuwa hiko ni chombo cha jeshi na hakipaswi kujadiliwa. Amejitoa ufahamu kuwa chombo kilinunuliwa kwa pesa za wananchi ili kiingize mapato ktk mfuko wa nchi na kusaidia usafiri wa ndani kwa ndani.

Mtu huyo huyo anasema hapangiwi cha kufanya kwa kuwa form alienda kuchukua mwenyewe, aliyemtangulia naye kajinufaisha yeye na familia yake, akaingia mikataba ya hovyo hovyo ya gas n.k aliyempita pia alijibinafsisha mpaka migodi....
 
138d7dea6a819e1cc78ed34d63d99be9.jpg
tunacheza pool table
 
Back
Top Bottom