Mkuu acha tu ninjaAh ndugu yangu hawa viumbe pasua kichwa
Umepitia mengi mkuuMkuu kumbe mule mule nilivyo hisi mwanzo.
Kwenye uzamiaji kama unavyojua.
Harusi siku hizi naona kila mtu na sahani yake.
Ila time zile SINIA inawekwa kati mzee kama kawaida unakutana na menu ya moto kishens* hadi tulikuwa tunahisi wapishi wanatukomoa.
Nyama unakutana nazo juu hafu people nyingi hapo kabla ya kula inabidi muanze na vita vya vyama kwanza japo za moto kinoma.
Ukimaliza hapo bado kumaintain speed ukiwa ovyo unaweza kutoka mtupu maana speed kila mtu ana maximize ipasavyo
Hahahaha anafanana na jamaa mmoja humu
Harmonize
Masikini pendo langu (Ibebe)
Linandondoka (Ibebe)
Niokote mama
(Ibebe, Chaukucha nsije zima)
Outro
Ibebe, ibebe
Ibebe, Chaukucha nsije zima
Ibebe, ibebe
Ibebe, Chaukucha nsije zima
HawaAdam
Hahahaha afadhali umemsisi hivyoTeh [emoji23] [emoji23] Siisii aspirini
[emoji125] [emoji125]
Hahahaha vijana wakikusikia kuwa una urafiki na huyo mama watakutafuta maana amewatenda wengiMAMA DANIEL
Avatar yako imefanana kabisa na MAMA NDALICHAKO (rafiki yangu sana huyu mama)
kichwa kichafu utakuja na huyu kupata lunch kwa shimbaBado sijapapata kwa shimba ni wapi