Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
au nimwite kwa sauti???Hahahaha afadhali umemsisi hivyo
au nimwite kwa sauti???Hahahaha afadhali umemsisi hivyo
Habari mkuuChicks
sent from my iPhone 7 using Jamiiforums mobile app
Ukimix na bapa inakuwaa balaa lingineDompo
saafii sana mkuu kelvinNa mimi nampa zingine tano
Nzuri mkuu naona unatupeleka mikono juu mwendo wa matekaZa mchana mkuu?
Anapunguza urefu wa mazungumzo ila we fanya ulivyo elewa mwanzo ndio jipu sahihiHajaomba kasema tu mimi maziwa! Je yeye ni maziwa ama??
Hahahah tukimbilie 130kNzuri mkuu naona unatupeleka mikono juu mwendo wa mateka
Smg 47*Wabongo wanapenda sana kuagizia vitu mara tu unaposafiri kwenda mkoani...*
*Ukienda Mtwara utasikia "Niletee Korosho"*
*Ukienda Mbeya utasikia "Niletee mchele....*
*Ukienda Singida utasikia "Niletee Mafuta ya alizeti...*
*Ukienda Mwanza utasikia "Niletee Sato..."*
*Sasa leo Naenda Kibiti...*
*Niwaletee nini?*
Usimpe uzito wa juu itamvunja nyonga.Pokea yangu pia yenye uzito wa kati
Hahahaa kesi hio hahahau nimwite kwa sauti???
Hahahahaha kijana inaonekana upo njema kwenye secta ya nyukliaUkimix na bapa inakuwaa balaa lingine