Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahahaha wanavuruga vichwa ukikaa vibaya.Kabisa waliumbwa kwa udongo ule wa mwazo mwanzo
Hahahaha wanavuruga vichwa ukikaa vibaya.Kabisa waliumbwa kwa udongo ule wa mwazo mwanzo
Mwendo ule ule kama usain bolt kwenye mbioTunakimbiza tupo center half.
Mpela mpela
😀😀😀😀😀😀wazamiajiSio kitu serious sana ila neno SINIA.
Ndio nikakumbuka mambo ya uswazi tulikuwa tunazamia sana harusi.
Aaah ilikuwa hatari sana mkuu. Balaa lake kwenye hizo harusi.
Tunaruhusiwa kujumuika pamoja mama.Muda wa lunch[emoji39]
Ah ndugu yangu hawa viumbe pasua kichwaHahahaha wanavuruga vichwa ukikaa vibaya.
MAMA DANIELAfternoon.
pamoja..Muda wa lunch[emoji39]
Namsikiliza sanaUnamsikiliza wewe huyo jamaa.
Karibuni sana kichwa kichafu na wengineeTunaruhusiwa kujumuika pamoja mama.
Kuna yenye picha ya kuchora,ya kihindi na yenye miwaniHahahahaha.
Id gani hizo mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni wap huko mpendwa nikaribieKaribuni sana kichwa kichafu na wenginee
Jakitoo naombaKaribuni sana kichwa kichafu na wenginee
tunajenga uzi wetu wa likes....pamoja..
Karibuni sana kichwa kichafu na wenginee
Hajaomba kasema tu mimi maziwa! Je yeye ni maziwa ama??Yeye kaomba maziwa we umejiongeza kweli we ni smart.
mzee wa liver njoo uchukue maziwa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu kumbe mule mule nilivyo hisi mwanzo.😀😀😀😀😀😀wazamiaji
Mimi jina kasinia nilipewa na rafiki yangu mmoja shule ya msingi miaka ya mbali huko
Nakumbuka tulikua tunampenda msichana mmoja japo mimi nilimzidi kete yule rafiki yangu kwasababu ile sketi ilikuwa inanikubali from the very begining,
Sasa sikumoja ile sketi ilinialika kwenye birthday party yake ikasisitiza niende peke yangu sasa rafiki yangu akajua nimemnyima kadi ya mualiko nikaenda kula SINIA zima peke yangu tangu hapo shuleni nikaitwa KASINIA
Mwanzo nilipata shida ila baadaye nikaona KASINIA ni LOGO ya hollywood ikawa official logo yangu🙂🙂
Afternoon to you mam! [emoji113]Afternoon.