Well said brother! Hii ni stress free zoneHaya tuyaache mkuu. Jukwaa la siasa lisije likahamia huku tukaanza kutukanana timu mafisi vs manyumbu. Tule likes tu kwa kweli...
I guess so! Maana ni upendo katika ubora wakeLol, huu uzi umetengeneza couple au macho yangu tu
Culture Gal.
Ni kweli aisee wanasahauMyoyambendi, Mzee wa Liver na Shimba tujivike jukumu la kukumbushia mara kwa mara kuhusu utoaji wa likes. Ni rahisi sana kwa watu kujisahau!
Kuvunjika kwa pakachaPwaaaaah
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sis, hakikisha umeisoma post comment # 130539...
Una uhakika gani si kweli.kumbe hakuna ukweli wowote, hahaha japo si mbaya pia
Culture Gal.
Usiwasikilize ao jakitoo anakuelewa na kukusikilizaJakitoo huyu dah!
Nakuheshimu sana Boss wanguNinawaheshimu sana wakuu
Toa likes Pata likesnipeni like wazee
Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
Heshima kwao kwa kweli hii speedHeshima yenu wakuu kwa kukimbiza thread
HaswaaKiboko yao
Ndio mkuuKama hivi[emoji106]
Sawa mkuuNilikuja kutoa likes tu....baadaye..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wazee wa kulazimisha penzi
Alikaza sana huyu mzee Safi kwake..Yeah. Kama binadamu alikuwa na udhaifu wake lakini jambo moja kuu ambalo ni nadra kuliona hasa kwa hawa wenzake waliomfuata:ALIAMINI ALICHOKUWA ANAKIHUBIRI. Aliamini kabisa katika Ujamaa wake na aliamini kabisa kuwa rushwa ni adui wa haki. Alikuwa kama mungu na angeamua kufisadika basi angefanya atakavyo. Leo hii mpaka na watoto wake wote wanaishi maisha ya kawaida tu. Kwa hili tu namheshimu sana kwa kweli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nibadili ID kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti takataka...
Zaidi ya segeleSegele