myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mmmh mie tena utan hapana,nimekomajeLeo naona umesimama imara hutaki mchezo mchezo. Ni mwendo wa like tu..
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
My lovely daughterCLEOPATRA
Haya tuyaache mkuu. Jukwaa la siasa lisije likahamia huku tukaanza kutukanana timu mafisi vs manyumbu. Tule likes tu kwa kweli...Na mwaka 85 alikiri kosa la ujamaa na akaomba msamaha. Hakuwa mnafki kama waliomfata, leo kiongozi mmoja ndie anajifanya mzalendo wakati miaka michache nyuma alishiriki kuuza nyumba za serikali. Akapiga tenda za barabara mbovu, akanunua kivuko cha hovyo n.k
Kuona kuwa watu wanauliza sana kuhusu kivuko, akaamua akigawe kwa jw na kusema kuwa hiko ni chombo cha jeshi na hakipaswi kujadiliwa. Amejitoa ufahamu kuwa chombo kilinunuliwa kwa pesa za wananchi ili kiingize mapato ktk mfuko wa nchi na kusaidia usafiri wa ndani kwa ndani.
Mtu huyo huyo anasema hapangiwi cha kufanya kwa kuwa form alienda kuchukua mwenyewe, aliyemtangulia naye kajinufaisha yeye na familia yake, akaingia mikataba ya hovyo hovyo ya gas n.k aliyempita pia alijibinafsisha mpaka migodi....
Tunamwita "kivuruge"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atamaliza mabucha nyama ni ile ile tu !
Ukiongea tu basi umekwisha. Roho mbaya balaa!if u got something good goin, don't tell nobody.
Usitake kuniambia kwamba macho yako yameiona nuru hiiNa wewe tena duh!
Bado zimepigwa marufuku au walishalegeza masharti?tunacheza pool table![]()
Numbisa my princess hiHarmonize
Masikini pendo langu (Ibebe)
Linandondoka (Ibebe)
Niokote mama
(Ibebe, Chaukucha nsije zima)
Outro
Ibebe, ibebe
Ibebe, Chaukucha nsije zima
Ibebe, ibebe
Ibebe, Chaukucha nsije zima
uko sahihi mkuuHaya tuyaache mkuu. Jukwaa la siasa lisije likahamia huku tukaanza kutukanana timu mafisi vs manyumbu. Tule likes tu kwa kweli...
Naona app imekorofisha. Hao inabidi waende kwenye settings za app zao pale kwenye notification => signature halafu wachague none. Yaani jana nimekuja kushtuka kimkweche changu cha simu kimeshaanikwa hapa. Hovyo kabisa!Hv kwnn hz signature za aina za simu zinatokea sana ndani ya hz siku mbili?
Nzuri my princess nafurahi kukuonaZa mchana mkuu?
Huu uzi umeleta madadiliko ya comments wasiyoyatarajia sasa wako wanajaribu kuendana na kasi ndo maanaNaona app imekorofisha. Hao inabidi waende kwenye settings za app zao pale kwenye notification wakazizime...
Asante nkoiNaona app imekorofisha. Hao inabidi waende kwenye settings za app zao pale kwenye notification wakazizime. Yaani jana nimekuja kushtuka kimkweche changu cha simu kimeshaanikwa hapa. Hovyo kabisa!