mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
130k
Hahahaha that my QueenUZI
OYEE
WE DID IT
Kwahiyo tufanyeje, turudi nyuma tuanze upya au tusonge mbele?Wadau sio siri nakata tamaaa kabisa yaani post huku nyuma hakuna likes kabisa
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]Huku kibiti folen hamna kabisa.
Sema nilikuja huko kwenu mjini kuchukua pembejeo za kilimo ila kwa sasa nipo njiani narudi kibiti mama[emoji23] [emoji23]
Karibu sana kwangu kibiti
Wanawaza kupewa like tyu kutoa wao hawatakiHivi hawa watu wanaocomment tuu bila kutoa likes kwa wenzao wanawaza nini
Soon tutawagundua kwa majina yaoWanawaza kupewa like tyu kutoa wao hawataki
Wabeja kulumba NKOI bageshi. Yeah ni settings => notifications => signature halafu unachagua none basi unakuwa umeondokana na kadhia hii.Asante nkoi
SIO VIZURI KUINGIA NA KWENDA MBELE..LIKES ZA NYUMA KWANZAKwahiyo tufanyeje, turudi nyuma tuanze upya au tusonge mbele?
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Ninaye m1 ila simtajiWanawaza kupewa like tyu kutoa wao hawataki
Mhh, Pata like zako, lakini hapa siyo mahali pake. Huu ni uwanja huru wa burudani. Baada ya machukizo ya siasa za kilofa watu hukimbilia huku kuburudika na kukwepa povu za siasa. kuna hatari ya kuanza kugeuza uzi huu mahali pa chuki na like za kibaguzi.Na mwaka 85 alikiri kosa la ujamaa na akaomba msamaha. Hakuwa mnafki kama waliomfata, leo kiongozi mmoja ndie anajifanya mzalendo wakati miaka michache nyuma alishiriki kuuza nyumba za serikali. Akapiga tenda za barabara mbovu, akanunua kivuko cha hovyo n.k
Kuona kuwa watu wanauliza sana kuhusu kivuko, akaamua akigawe kwa jw na kusema kuwa hiko ni chombo cha jeshi na hakipaswi kujadiliwa. Amejitoa ufahamu kuwa chombo kilinunuliwa kwa pesa za wananchi ili kiingize mapato ktk mfuko wa nchi na kusaidia usafiri wa ndani kwa ndani.
Mtu huyo huyo anasema hapangiwi cha kufanya kwa kuwa form alienda kuchukua mwenyewe, aliyemtangulia naye kajinufaisha yeye na familia yake, akaingia mikataba ya hovyo hovyo ya gas n.k aliyempita pia alijibinafsisha mpaka migodi....
Jambo nsamakaHellow, mambozzzzz
Karibu sana, sisi pia tumekumissNawamis sana
Usitubague, toa mwaliko wa kuelewekaWale wa shinyanga tukutane viwanja vya nssf baada ya kazi