Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakuu. It's official. Our own, The Goddess of Goddesses, ISIS - the daughter of Geb and Nut, the sister of Osiris, Seth and Nephthys, the wife of Osiris and the mother of Horus; the goddess of the dead, the magical healer, mfufua wafu and a model for all women AMEVUNJA REKODI ya likes hapa JF na sasa ndiye kinara hapa. It has been done and congratulations for all. Kama kuna party ya kujipongeza huko Masaki basi tunaomba tualikwe! Mzee wa Ini toa ufafanuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rekodi ya zamani kutoka Makapuku:
c1904dc37693f9c1fc07f8432dd615a1.jpg

Rekodi mpya kutoka kwa Malkia wetu
b3b6d601131103e812feb9920c37d2cd.jpg
 
Mshaanza kujadili siasa humu

Sisi wengine tupo katikat hatusifii wala hatupondi

Kwa mfano kwa upande wangu ninaamini katika udikteta uliobora kama ule wa gadaffi na baadhi ya wafalme

Siipendi siasa ya bongo kwasabu kila ukichambua jambo ni lazma watu wakuweke kwenye chamba fulani jambo ambalo ni ujinga wa kishabiki


Hakuna chama duniani ambacho kimewahi kuleta maendeleo duniani bali ni uweledi wa watu wenye nguvu ndio unaoleta maendeleo katika nchi

Full stop.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe kuhusu ujinga wa siasa za kishabiki, sikubaliani kabisa kwenye udikteta wa aina yoyote. Tuachane na siasa tujikite kwenye lengo uzi huu. JAMANI SIASA HATUZITAKI HUKU. ni like tu

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mhh, Pata like zako, lakini hapa siyo mahali pake. Huu ni uwanja huru wa burudani. Baada ya machukizo ya siasa za kilofa watu hukimbilia huku kuburudika na kukwepa povu za siasa. kuna hatari ya kuanza kugeuza uzi huu mahali pa chuki na like za kibaguzi.

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Tushamwambia.
 
Wakuu. It's official. Our own, The Goddess of Goddesses, ISIS - the daughter of Geb and Nut, the sister of Osiris, Seth and Nephthys, the wife of Osiris and the mother of Horus; the goddess of the dead, the magical healer, mfufua wafu and a model for all women AMEVUNJA REKODI ya likes hapa JF na sasa ndiye kinara hapa. It has been done and congratulations for all. Kama kuna party ya kujipongeza huko Masaki basi tunaomba tualikwe! Mzee wa Ini toa ufafanuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rekodi ya zamani kutoka Makapuku:
c1904dc37693f9c1fc07f8432dd615a1.jpg

Rekodi mpya kutoka kwa Malkia wetu
b3b6d601131103e812feb9920c37d2cd.jpg
HONGERA.. sio ajabu woote wakahamia huu uzi
 
Back
Top Bottom