myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HahhahaaYaaani nacheka mwenyewe kwa nguvu! Duh haki ya Mola wangu walahi
Mdomo unaumba! Wewe ndiyo uliniambia! Remember? Sasa tamka Pesa! HahahahaThats my dada buana!!
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Pongezi kwako malkia wangu wewe ni wa peke kabisaYou are sooooo sweet my dear!
Kweli ni kwa uzi huu!
WOTE KWA UJUMLA!
Kweli kabisaTukumbuke kugonga likes kama lengo la uzi
AMUN RAPongezi kwako malkia wangu wewe ni wa peke kabisa
Binafsi natumia Techno du shidaNatania tu Numbisa. Unajua hapa unakuta watu wana notion mbalimbali. Ni sawa na magari. Mwenye Range Rover ana hadhi kuliko mwenye Vitz. Hata hapa nadhani wenye TECNO wasingependa zionekane laivu kwenye signature zao hasa kama wana swagaz. Wenye iPhone na SM Galaxy zao sidhani kama wameghafilika kivile. Nimeona mmoja mpaka alikuwa anaandika signture ya iPhone 7 yake manually japo alikuwa anakosea Kiingereza. Ni shida!
Asante sana my dearNami pia nakupenda sana my dearest