ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
HahahahaAaaaaaaaaah! nimeibiwa LIKES zangu,naanza upya,mnichangie bila uchoyo.
HahahahaAaaaaaaaaah! nimeibiwa LIKES zangu,naanza upya,mnichangie bila uchoyo.
Mkuu wewe ni budha?
You are sooooo sweet my dear!Sis, hakikisha umeisoma post comment # 130539...![]()
Kuwa na amani! Pokea malike my dearMkuu wewe ni budha?
Ok!Sis, hakikisha umeisoma post comment # 130539...![]()
Come come coome, maneke umeziba piemu na profaili zakoHahahaha
HahahahaHaswaaa! hii team kila siku ni sikukuu.
Natania tu Numbisa. Unajua hapa unakuta watu wana notion mbalimbali. Ni sawa na magari. Mwenye Range Rover ana hadhi kuliko mwenye Vitz. Hata hapa nadhani wenye TECNO wasingependa zionekane laivu kwenye signature zao hasa kama wana swagaz. Wenye iPhone na SM Galaxy zao sidhani kama wameghafilika kivile. Nimeona mmoja mpaka alikuwa anaandika signture ya iPhone 7 yake manually japo alikuwa anakosea Kiingereza. Ni shida!Hahahaaa hii dhambi sasa,nani huyo alianika simu yako hapa aah
Kazi unayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 539127
Mimi ni Goddess Isis my dear
Sawq mkuuAaaaaaaaaah! nimeibiwa LIKES zangu,naanza upya,mnichangie bila uchoyo.
HahahahaCome come coome, maneke umeziba piemu na profaili zako
Hahaha habari yangu poa, nami nakuja na kuondoka leobabe S
babe S
babe S
Habari yako maana ho chi minh anakutafuta kama ruba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona eeeh! Kumbe mpaka hata ile hadithi ya Musa kuwekwa kwenye kikapu na kuelea Mto Nile; na taswira ya Maria Mtakatifu na mtoto wake Yesu yaweza kuwa imetokana na huyu Goddess. Nakusoma soma sana malkia wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya Mola wangu walahi
Shimba! hahahaha
Yaani we acha tuKazi unayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Change urself before want to change the worldOne man can change the world...
Nimeona mpendwa!Umeona eeeh!