Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natania tu Numbisa. Unajua hapa unakuta watu wana notion mbalimbali. Ni sawa na magari. Mwenye Range Rover ana hadhi kuliko mwenye Vitz. Hata hapa nadhani wenye TECNO wasingependa zionekane laivu kwenye signature zao hasa kama wana swagaz. Wenye iPhone na SM Galaxy zao sidhani kama wameghafilika kivile. Nimeona mmoja mpaka alikuwa anaandika signture ya iPhone 7 yake manually japo alikuwa anakosea Kiingereza. Ni shida!
Ila mkuu nimeona saivi ipo kama yenyewe mkuu
 
Simtaki kumwona Kichwa Kichafu popote karibu na nyumba yangu, au popote karibu nawe. Hata kuwasiliana naye tu sitaki. Kama ana shida yo yote nawe basi apite kwangu kwanza. Mharibifu huyu ukimdekeza utakuta kweli keshaharibu. Daima kinga ni bora kuliko kuponya mke. Ohoooo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana bro kata vimizizi vidogo vidogo
 
Back
Top Bottom