Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kichwa kichafu utakuja na huyu kupata lunch kwa shimba
Simtaki kumwona Kichwa Kichafu popote karibu na nyumba yangu, au popote karibu nawe. Hata kuwasiliana naye tu sitaki. Kama ana shida yo yote nawe basi apite kwangu kwanza. Mharibifu huyu ukimdekeza utakuta kweli keshaharibu. Daima kinga ni bora kuliko kuponya mke. Ohoooo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simtaki kumwona Kichwa Kichafu popote karibu na nyumba yangu, au popote karibu nawe. Hata kuwasiliana naye tu sitaki. Kama ana shida yo yote nawe basi apite kwangu kwanza. Mharibifu huyu ukimdekeza utakuta kweli keshaharibu. Daima kinga ni bora kuliko kuponya mke. Ohoooo!
Mwana nzengo fanya kazi yako maana KICHWA anaushawishi kweli
 
Back
Top Bottom