Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzuri mabinti wote hapa wameshamjua kuwa ni mtembea popote. Ni binti gani atakayekubali kuvamiwa na Kichwa? Huyo kwa kweli hata kama ni wangu nitamuacha aende tena kwa moyo mweupe kabisa kama theluji!Kichwa ametangaza kuvamia mazizi yote