Kweli kabisaNipo 3 hrs ago, haki ya like haijatendeka jamani. Jamani uzi huu anzieni mlipoishia ili kila mmoja apate haki yake ya like
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Hhaahhaah ISISSio mimi ni Kichwa Kichafu kasema
Nimemiss kununua pamba Mwanza pale makoroboi yani mitumba bei cheeeeKoroboi
Unadhibitisha kuwa clever kichaaKichwani kwangu.
CleverKINGKichwa Kichafu {/USER}
Hapa nang'aa kwa sababu ya makoroboiNimemiss kununua pamba Mwanza pale makoroboi yani mitumba bei cheeee
Nimiss picha kwa kweliAmbao sijawapa likes nivumilien kidogo ntawapa tu browser inazingua
Hata kutuma picha inakataa mara sijui permission au screen overlay detected aah
[emoji141] anameremetaa ... Anameremetaa,ISIS anameremetaa...anameremetaaYou are awesome!
Mkuu hebu nikumbushe jinsi ya kumtag mtu,naona inagoma!!
Anza na @ andika jina la huyo wa kumtag usiache nafasi kati ya @ na jinaMkuu hebu nikumbushe jinsi ya kumtag mtu,naona inagoma!!
Pokea hiyoTukumbuke kugonga likes kama lengo la uzi