The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ni rahisi kwa kichaa kumtambua kichaa mwenzie,unathibitisha kua wote ni vichaa,tunaishi maisha ya raha,kila kitu ni cha kuokota tu!Unadhibitisha kuwa clever kichaa
Nimiss picha kwa kweli
Na mm nilitaka kusema ..dahMmh si uende kidogo jukwaa la picha ukatalii
Tadhimini maneno ulioandika mama.Acha wivu Wee like tu ndo lengo la uzi
Hahahahhaaha
Jamaa anajaribu kutafakari namna mvumbuzi wa konyagi alivyoitendea haki taaluma yake.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nawe ujege upewe ma-like ya burubureHongerni wazee wa likes maana naona mnatesa ktk Nortable member
Mkuu pole sana achana na TECNO
Wote papa tuPapa mkubwa papa, papa mdogo je?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa liver ndiye mbabe wa sherehe, ana vijana wake wanao sambaza kadi ambao ni Aleyn, uniq na ho chi minh. Nadhani watakuwa bado hawatoka shuleni. Nitakushtua mkuumbona kadi sijapewa?
Like tu hakuna namnaTukumbuke lengo la uzi
LikesMashaalah mtoto
HahahahahNi rahisi kwa kichaa kumtambua kichaa mwenzie,unathibitisha kua wote ni vichaa,tunaishi maisha ya raha,kila kitu ni cha kuokota tu!
UmekosaaWote papa tu
Likes131k!!!!!