antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Mwanzo kokochi mwisho nazi
FactHuwezi kusukuma gari bovu ukiwa umekaa ndani yakeHii inamaanisha lazima uteremke chini. Maana hiyo inakwenda mbali zaidi kwamba unapohitaji kutatua tatizo ni lazima uwashirikishe wengine waliokuzidi maarifa.
Wanakuag wakala sana chuo xhid nnMzoea kutwaa, kutoa ni vita