Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,821 Maisha ni safari ya malengo yetu duniani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,822 Na safari huanza pale unapojua kwanini unasafiri, unaenda wapi na kwa usafiri upi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,823 Na katika safari ya malengo na ndoto zetu kuna mabonde, mawe na milima njiani.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,824 Wapo wale wanaokata tamaa kutokana na mabonde na milima ya maisha na hupotezwa njiani na wapo wale ambao huendelea kupambana bila kukata tamaa na watu hawa hula mema ya nchi, duniani
Wapo wale wanaokata tamaa kutokana na mabonde na milima ya maisha na hupotezwa njiani na wapo wale ambao huendelea kupambana bila kukata tamaa na watu hawa hula mema ya nchi, duniani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,825 Maisha si kutuwama kama maji taka dimbwini kutokana na mabonde na miinuko njiani bali ni kutembea na kuendelea bila kukata tamaa.
Maisha si kutuwama kama maji taka dimbwini kutokana na mabonde na miinuko njiani bali ni kutembea na kuendelea bila kukata tamaa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,826 Mambo makubwa ya maisha yamefanywa na watu walioendelea kujaribu,kupigana hata katika mazingira ambayo hayana matumaini kwao
Mambo makubwa ya maisha yamefanywa na watu walioendelea kujaribu,kupigana hata katika mazingira ambayo hayana matumaini kwao
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,827 Waswahili husema Kabla ya kukata tamaa katika maisha, jaribu tena.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,828 Ili uweze kuishi kimafanikio katika maisha, CHAGUA cha kwako maishani yakabili maisha uso kwa uso
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,829 pambana na kila aina ya magumu na maumivu yake, jenga imani ndani yako;
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,830 hasa imani ya wewe mwenyewe katika kile ukitakacho maishani. NA USIKATE TAMAA.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,831 Maisha ni magumu sawa, lakini hayawezi kuwa na nguvu kwa mwanadamu aliyeamua kuwa mgumu, anayepigana na kuendelea mbele pasipokukata tamaa.
Maisha ni magumu sawa, lakini hayawezi kuwa na nguvu kwa mwanadamu aliyeamua kuwa mgumu, anayepigana na kuendelea mbele pasipokukata tamaa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,832 Kumbuka kuwa wanadamu wanaofanikiwa siyo tu wale wenye vipaji pekee bali ni wale walioamua kupambana na kila aina ya mawaa bila kukata tamaa
Kumbuka kuwa wanadamu wanaofanikiwa siyo tu wale wenye vipaji pekee bali ni wale walioamua kupambana na kila aina ya mawaa bila kukata tamaa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,833 USIKATE TAMAA. Dunia inahitaji wanadamu wanaoishi, wanaoamua maisha yao na kung’ang’ania mpaka mwisho, mpaka kieleweke
USIKATE TAMAA. Dunia inahitaji wanadamu wanaoishi, wanaoamua maisha yao na kung’ang’ania mpaka mwisho, mpaka kieleweke
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,834 Usikubali kubebwa na matatizo yako na kukubali kushindwa na kupelekwa kokote kama mzoga
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,835 Ukitaka kufanikiwa maishani chagua kitu chako, jiendeleze katika hilo,kuwa bora zaidi ya wengine na zaidi ya yote kamwe usikate tamaa.
Ukitaka kufanikiwa maishani chagua kitu chako, jiendeleze katika hilo,kuwa bora zaidi ya wengine na zaidi ya yote kamwe usikate tamaa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,836 Slogan ya maisha ni : ENDELEA KUSONGA MBELE UKIKATA TAMAA UNAPOTEZWA BILA HURUMA.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,837 Watu wengi hushindwa maisha kwani hukata tamaa pasipokujua kuwa wapo karibu na mafanikio yao
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,838 Maisha ni kuendelea mbele bila kuvunjika moyo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,839 Wapo watu waliopitia magumu kama yako na zaidi yako duniani, hawakukata tamaa na mwisho wa siku walishinda
Wapo watu waliopitia magumu kama yako na zaidi yako duniani, hawakukata tamaa na mwisho wa siku walishinda
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 10, 2022 #1,316,840 jifunze kwa watu wafuatao na katika yote usikate tamaa;